Chorus
cheki ule manzi anavyokam
anavyocheza drum
anavyokata bambam bambam
mi napenda uki-dance 
coz you have a chance 
basi amka ukatike

cheki ule manzi anavyokam
anavyocheza drum
anavyokata bambam bambam
mi napenda uki-dance 
coz you have a chance 
basi amka ukatike

Verse 1
cheki ule manzi anavyokata tonight
shaking her figure to left and to right
mamanzi wote nataka mfurahi 
nataka m-dance
ki-experience
gal you look so romantic tonight
on that outfit imeku-tight
so tuende round sa basi baby
shake your waistline
kama Beyonce
songa karibu nikuonyeshe
hiyo kiuno nikukamate
chini kwa chini
tusakate
from now mpaka che
au vipi baby

Chorus
cheki ule manzi anavyokam
anavyocheza drum
anavyokata bambam bambam
mi napenda uki-dance 
coz you have a chance 
basi amka ukatike

cheki ule manzi anavyokam
anavyocheza drum
anavyokata bambam bambam
mi napenda uki-dance 
coz you have a chance 
basi amka ukatike

Verse 2
hebu just take a look the way she's moving
African sexy gal the way she dancin
Jesus I niko excited
inna di frenzy yeah
me wanna be there
ukikata eeh kata eeh eeh
from the distance you look so sexy
mi nataka kuku-touch touch
unavyo-shake shake
unani-make make
my mind go.. waa
so we gonna party until dawn
baby gal, would you wine and go down
coz you know umeni-turn me on
the way you rock and roll
inna di dance floor
inna di dance floor

Chorus
cheki ule manzi anavyokam
anavyocheza drum
anavyokata bambam bambam
mi napenda uki-dance 
coz you have a chance 
basi amka ukatike

cheki ule manzi anavyokam
anavyocheza drum
anavyokata bambam bambam
mi napenda uki-dance 
coz you have a chance 
basi amka ukatike

Verse 3
unanijazz unavyokata
unavyokata bila kuhata
ninabaki naona tu raha
basi dada wacha kukaa
amka ukatike...

unanijazz unavyokata
unavyokata bila kuhata
ninabaki naona tu raha
basi dada wacha kukaa
amka ukatike...

Chorus
cheki ule manzi anavyokam
anavyocheza drum
anavyokata bambam bambam
mi napenda uki-dance 
coz you have a chance 
basi amka ukatike

cheki ule manzi anavyokam
anavyocheza drum
anavyokata bambam bambam
mi napenda uki-dance 
coz you have a chance 
basi amka ukatike

Share on social media


Report Item

Czars - Amka Ukatike Lyrics


Select reason for reporing content:

Send Item To Friend

Title: Czars - Amka Ukatike Lyrics


Posted by: Admin

Admin user