Verse 1
mtoto nieleze
nikuelewe
sababu unanifuata mimi
nilikupita
hapo kwa Peter
ukaniita basi niko hapa sista
oyoni mwako 
una maswali
ebu jaza pengo ama umenoki
mi ni Delicious
sitaki vita
nataka kujua ka wapenda kukatika

bridge

aaaaahh  najua wewe wanipenda
aaaaahh  unachotaka tutatenda
aaaaahh  najua wewe wanipenda
aaaaahh  hata Mombasa tutaenda

Chorus
na sura yako ewe manzi ni (tamu sana)
umbo lako wewe dada (tamu sana)
every time I look at you na-fantasise
ndio maana ninaimba (tamu sana)
njaro zako wee kipusa ni (tamu sana)
tabasamu lako baby (tamu sana)
kila nikikucheki nameza mate ndio maana ninaimba (tamu sana)

Verse 2
nikikucheki
usoni mwako
sura nzuri hata pia tabasamu
tega sikio 
unisikize
ninayosema tafadhali uyashike
kuja karibu
uwe tabibu
unipe busu polepole taratibu
wee ni wangu
na mi ni wako
wanitaka pia mimi nakutaka

bridge

Chorus
na sura yako ewe manzi ni (tamu sana)
umbo lako wewe dada (tamu sana)
every time I look at you na-fantasise
ndio maana ninaimba (tamu sana)
njaro zako wee kipusa ni (tamu sana)
tabasamu lako baby (tamu sana)
kila nikikucheki nameza mate ndio maana ninaimba (tamu sana)

Verse 3
shimmy shimmy ya
shimmy shimmy ya
gal you so fly

shimmy shimmy ya
shimmy shimmy ya
gal you dem fly

shimmy shimmy ya
shimmy shimmy ya
gal you so fly

shimmy shimmy ya
shimmy shimmy ya
gal you dem fly

toka zamani nilikuwa nimesota
lakini hivi sasa nimeanza kuokota
wajua nakupenda kama vile nyama choma
nataka tuoane ukimaliza kusoma (noma)
mavazi yako rangi sawa
hata nyuki watadhani wee ni flower
kwenye ndoto mimi hukuota
nikiwa mgonjwa wewe sista kweli ndiye dawa
jo wee ni msupuu shinda yule Alicia Keys
mazee usini-diss
come unipe hiyo kiss
niku-feel juu ahaa!
sisemi kitu
napenda ngozi yako brown
nataka kupa thug lovin
kama bobby brown

Chorus
na sura yako ewe manzi ni (tamu sana)
umbo lako wewe dada (tamu sana)
every time I look at you na-fantasise
ndio maana ninaimba (tamu sana)
njaro zako wee kipusa ni (tamu sana)
tabasamu lako baby (tamu sana)
kila nikikucheki nameza mate ndio maana ninaimba (tamu sana)

Share on social media


Report Item

Delishias - Tamu sana Lyrics


Select reason for reporing content:

Send Item To Friend

Title: Delishias - Tamu sana Lyrics


Posted by: Admin

Admin user