Chorus (Dola Kabarry)
What make Adhiambo look so good when she turn around
its just a aay!
What make Adhiambo look so good when she turn around
its just, its just
Adhiambo, Adhiambo Kisumu City
Adhiambo C, Adhiambo
Adhiambo, Adhiambo Mombasa City
Adhiambo C, Adhiambo
Verse 1 (Colonel Mustafa)
this time yatoka Kisumu
kama huipendi basi kunywa sumu
who can bwogo me
hakuna
nilimwona Lake Victoria
kuna dame anaitwa Adhiambo
amekula omena cheki hizo haga
Adhiambo kweli amebeba mali
so tutapanga twende mahali
Kisumu City nikiwa hatari
bodaboda ziko pale ziko tayari
bodaboda ziko pale ziko tayari
nikampeleka
ah-ah...kanyo
Chorus (Dola Kabarry)
What make Adhiambo look so good when she turn around
its just a aay!
What make Adhiambo look so good when she turn around
its just, its just
Adhiambo, Adhiambo Kisumu City
Adhiambo C, Adhiambo
Adhiambo, Adhiambo Mombasa City
Adhiambo C, Adhiambo
Verse 2 (Nasty Thomas)
naenda Kisumu City
to meet Adhiambo
msichana mwenye sura na figure nzuri
koto ya kiluo na ni mrefu kiasi
knows how to dress like Orie Manduli
wasichana wote wa Kenya duto beyo
ye ndio malkia wa Kisumu City
ona nywele zake zote ziko safi
ana tabia nzuri kama Julia Awiti
kwake ndio nimefika na sitoki hapa
Chorus (Dola Kabarry)
What make Adhiambo look so good when she turn around
its just a aay!
What make Adhiambo look so good when she turn around
its just, its just
Adhiambo, Adhiambo Kisumu City
Adhiambo C, Adhiambo
Adhiambo, Adhiambo Mombasa City
Adhiambo C, Adhiambo
Outro (Dola Kabarry)
Kisumu City
Nairobi City
Nairobi City
Mombasa pwani
Kisumu City
Nairobi City
Nairobi City
Mombasa pwani
Kakamega
Busia boda
Kakamega
Busia boda
Nakuru
Kisumu City
Kisumu City
Nairobi City
Mombasa pwani
Nairobi City