Verse 1
Uhaah!
Naamka kume kucha napita mamangina nasikia "nipe shilingi"
Chukua baada ya muda naona dem wa kishua
Expensive kinda looking utadhani ametuwa
Ah wacha nikwambie "sema"
Dem alikuwa amevaa a black sketcher
An africa queen a rare kind of species none of you has ever seen
Ako masava va!
Jina ni mustafa no need for you to worry we can keep it undercover
For real never mind about your current lover
[karibu upite ndani halafu uta discover] x2
chorus
cheki monalisa anavyotingisha (tingisha)
mimi nimebaki nimejazika (jazika!)
wawazee kila siku wanauliza (uliza!)
Jambo gani nilifanya mpaka akajipa
cheki monalisa anavyotingisha (tingisha)
mimi nimebaki nimejazika (jazika!)
wawazee kila siku wanauliza (uliza!)
Jambo gani nilifanya mpaka akajipa
Verse 2
s’avez vous parlez francais
mikasa sukasa mbona unakaza
mara ya kwanza nikupeleke casablanca mombasa
roasters sasa come to makasa sasa ni ma vultures
ngoja ukiwa utasuffer siwezi kukuchapa
na tena nimeapa ni wewe ndio nataka
wengine mi sitaki kwani mangojwa ni mengi
so wacha nikupe raha mtoto wa kikenya mi nisha sema nishasema
chorus
cheki monalisa anavyotingisha (tingisha)
mimi nimebaki nimejazika (jazika!)
wawazee kila siku wanauliza (uliza!)
Jambo gani nilifanya mpaka akajipa
cheki monalisa anavyotingisha (tingisha)
mimi nimebaki nimejazika (jazika!)
wawazee kila siku wanauliza (uliza!)
Jambo gani nilifanya mpaka akajipa
Verse 3
yo baby boo be sure kila kitu nita do
na kama una penda nasi basi sema uh
yo baby boo be sure kila kitu nita do
na kama unapenda nasi sema uh!
yo baby boo be sure kila kitu nita do
na kama una penda nasi basi sema uh
boo be sure kila kitu nita do
na kama unapenda nasi sema uh!
S’ave vous parles francais mikasa sukasa
Mbina unakaza mara ya kwanza nikupeleke casablanca mombasa
Roasters sasa come to makasa
Ako masava
jina ni mustafa
No need for you to worry we can keep it undercover
For real never mind about your current lover
(karibu pita ndani alafu njoo utadiscover)x2
chorus
cheki monalisa anavyotingisha (tingisha)
mimi nimebaki nimejazika (jazika!)
wawazee kila siku wanauliza (uliza!)
Jambo gani nilifanya mpaka akajipa
cheki monalisa anavyotingisha (tingisha)
mimi nimebaki nimejazika (jazika!)
wawazee kila siku wanauliza (uliza!)
Jambo gani nilifanya mpaka akajipa