Intro
Genge jo inanibamba mbaya
Yani hii mziki yaniÂ
Nikiiskia yani mi huskia sijui aje
Nika nipige nduru Â
Watu! Â
mnajua niaje
Kitu yoyote ntawaambia leo
Mtanijibu tu Â
Verse 1
Maisha yangu tamu siku inanirarukia mbaya lakini nimeamua kuitulizaÂ
Kabla pombe iniue itabidi nimeiwacha kabisa ama nianze kuikunywaÂ
Ona vile nywele zangu zimerefuka mpaka watu wananiambia zipunguzeÂ
Walikua wanafkiria nimeacha ngoma sababu nimepotea ngoma ni mingi ngoma siÂ
Na zote ziko poa ka mchele imeekewa mnazi ama imegusiwaÂ
Ka hii ngoma inakubamba basi si ukatike na ka inakushika si uongeze sauti tenjeÂ
Chukua chali yako chukua manzi yako mweke karibu zitoke naeÂ
Leo ata staki utupe mkono juu me nitingishie tu kichwa yakoÂ
staki ukatike sana mpaka uvunje mguu we nisaidie tu kuimbaÂ
Chorus
Kiasi e-eeÂ
ime ime imenibamba
Kiasi
Kiasi e-eeÂ
ime ime imenibamba
Kiasi
Kiasi e-eeÂ
ime ime imenibamba
Kiasi
Kiasi e-eeÂ
ime ime imenibamba
Verse 2
Hawa watu jana walinishika ikabidi nimewaachia yaoÂ
Beste yangu akaanza kubishana nao akanyamazishwa na ma mbaoÂ
Eeeh! chali yangu haujawai skia maneno ya hawa watu hawana huruma ataÂ
Juzi gari ya mafuta ikaanguka si waliangalia watu wakiivaÂ
Nyama choma kila mahali kachumbari poa lakini iongeze kitunguÂ
Wale wameponea wapeleke hosi watatibiwa na madaktariÂ
Hao wengine hawakuja job wanasema leo wajamaliziwa ile ganji yaoÂ
Eeeh! uspotibiwa sai utaona tu maisha yako ikikuachaÂ
Lakini usiwe na wasiwasi itarudi tu baada ya ma dakika baada ya ma dakikaÂ
Ebu niambie hio pande ingine ni ku poa ama ni kubaya hiviÂ
Kumetulia ama watu wanaungua ama watu wanaiva hiviÂ
Chorus
Kiasi e-eeÂ
ime ime imenibamba
Kiasi
Kiasi e-eeÂ
ime ime imenibamba
Kiasi
Kiasi e-eeÂ
ime ime imenibamba
Kiasi
Kiasi e-eeÂ
ime ime imenibamba
Verse 3
Naskia raha wasee wamechanuka siku hizi ngoma mbaya haziskizwi ataÂ
Pia naskia raha unaeza chinjia manzi siku hizi ata ka ni mzee wakoÂ
Kabla niende kumwona lazima nipige nguo pasi nijipake mafutaÂ
Niakikishe ngotha safi na ka si mathao mfukoni nikue na ganji ataÂ
Leo lazima nijue ka ananipenda sana ama labda ananichukiaÂ
Lazima nijue ka tazamisha yote ama taiekeleaÂ
Akikata naachana nae naenda kutafuta mwengine msupa tuÂ
Na najua tapata Kiswahili yangu ni mambo yote hapa hakuna cha kugeiwaÂ
After hio tunakuta vitu kuta vitu mchana tunatuliaÂ
Chorus
Kiasi e-eeÂ
ime ime imenibamba
Kiasi
Kiasi e-eeÂ
ime ime imenibamba
Kiasi
Kiasi e-eeÂ
ime ime imenibamba
Kiasi
Kiasi e-eeÂ
ime ime imenibamba