Chorus (Sylvia)
Machali leo hamtala, machali leo hamtala
Ka wee ni manzi wa Nairobi amka uwanza kukatika
Machali leo hamtalala
Ka wee ni manzi wa Nairobi amka uwanze kukatika
Verse 1 (Nonini)
Ka ka we ni manzi wa Nairobi amka uwanze kukatika
Piga nduru,piga nduru,piga nduru usikike huku kwetu Africa Â
Zima nchi zote lazima kelele itafika
Dunia nzima hakuna manzi ka wa Nairobi
Ameng'ra nguo safi kidhani jana amezitoa tope
Kila siku namuona tao akitembea na maringo
Hata ukimpita lazima utapindua hiyo shingo
Kwa akili nafikiria atafunguaje hizo vifungo
Hiyo jeans imemkaza itamkazia kufika huko
Watu wameshindwa kusema jina yangu Nonini
Sababu nimeona mwingine amenga'ra li nini na nini
Checky vile anatetemeka ni kama nimekunywa chang'aa
Juwa zile vitu nimeona jana jo utashangaa
Jua Cali nakwambia utabidi tumeanza kuchangaa
Kama huna bima we ndio utaanza kutanga tanga
Cheki yule gagagagagagaga
Cheki yule gigagagagaga
Ningekuwa judge misingevaa nisivyo kawaida
Manzi wote wa Nairobi wangeshinda bila shida
(Chorus (Sylvia)
Machali leo hamtala, machali leo hamtala
Ka wee ni manzi wa Nairobi amka uwanza kukatika
Machali leo hamtalala
Ka wee ni manzi wa Nairobi amka uwanze kukatika
Verse 2 (Nonini)
Hamunioni Nairobi tena nikienda kucheki movie
Ya manzi mpoa haja vaa any ndani ya jaccuzi
Hata ka ni Julia Roberts
Nataka wa Nairobi yule anaoganga na hiyo hiyo Roberts
Msafi size yake ameshisha kiplani
Msauni muatherere anaweza kumalizia ganji
Hakuona kwa kichwa yake ameketisha sisasini
Na kaa kawaida kwa mfuko anaingiza profit ya hamsini
Mchukuwe manzi yoyote yule humjui
Kama hutaki kosana sana na wale wako Kitui
Lakini watu husema wanataki ya hiyo mi sijui
Kuwa ready kupelekwa mbio ama utawika u-u-uwii
Na naongea from experience niliacha moja juzi
Mluhya kumunduyo manzi ameshona bana
Hizo miguu zake amezitumia sana
Wacha ikae ka ni huyo mi nawika hapana
Saa umeongea, huyo ndio mambo yote
Nyuma ukimchecki mazee ambebe zote
Nikisimama na yeye, tunatoshana
Tukipoa down ni mrefu, tena sana
Nashindwa nikimpata hizo mizigo nitaezana
Usiniulize mzigo gani, wajua wacha kujifanya
Nonini
Chorus (Sylvia)
Machali leo hamtala, machali leo hamtala
Ka wee ni manzi wa Nairobi amka uwanza kukatika
Machali leo hamtalala
Ka wee ni manzi wa Nairobi amka uwanze kukatika
Verse 3 (Nonini)
Si-ta-choka na kuwapatia manzi wa Nairobi sifa
Hii ngoma inaeza enda one hour kabla haijaisha
Kuna manzi mpoa ni ugonjwa huaga ameshikishwa
Mabeste wanaambia Nonini huwa umerogwa
Nimerogwa na ninazidi kuroga juu ya vile wananiroga
Au vipi Jua Cali
Nakwambia ukweli mi si muongo wala muoga
Ukilala wasikia sauti yangu na kwambia songa
Ukikaa niko kando yako bado ukibuy mboga
Kwa bafu kwa bafu kwa bafu
Niko nyuma yako na kusugua mgongo tukiogaaa
Chorus (Sylvia)
Machali leo hamtala, machali leo hamtala
Ka wee ni manzi wa Nairobi amka uwanza kukatika
Machali leo hamtalala
Ka wee ni manzi wa Nairobi amka uwanze kukatika
Calif records
Aaaii, Clemo hii track ni kali
Aaaii, aaaii,Clemo hii track ni kali, aaaii..