Uuuuuuh naskia nika naweza chukua mpenzi sabuni niko tu katika hali ya kusafisha kuni
Mtotoe mzuri kwangu asiwe malaya
Mtotoe mzuri hataki nimpeleke kahawa
Mtotoe kwangu haoni haya tukimaliza kitanda yangu twaruka shower x2
Ushaona mtotoe amesimama ka four point sita aitwa limama ama anita mrefu kidogo ameniacha ka three mita nimpande ka maji kwa tap ikitoka kwa mita mdogo mdogo anaeza nitingishia nikiwa nyuma yake unaeza dhani mi ni mkia imajin jo amefanya nikajimwagia na anacheka nikimwambia nataka kumtiaaaaaaaah akaipita base kila mtu anapita njiaaaah ta tabia zake uaezathani ye ni mlami ngozi yake ni laini na ni rangi ya lame macho ukimcheki ninawish ningekua ndanee ndane ya jeans yake mahaga size yake anipeleke kwake aishi kwa mamake kila Monday nimuamshe ngware ni mmange mateeee mateeee aaaaaah
Mtotoe mzuri kwangu asiwe malaya
Mtotoe mzuri hataki nimpeleke kahawa
Mtotoe kwangu haoni haya tukimaliza kitanda yangu twaruka shower x2
Manze naeza like mtoto anapenda marap sana
sio mtotoe mablues hapanaaa
Sms nikimtumiaga niza kumangana
maforces ndio zetu usiku mpaka mchana
tuone nani anaeza imajin vitu za kifedhulifendhuli ka kenyana na jua kali kwa mapenzi kihunihuni
panataka msichana ananipenda sababu ya noti
nataka msichana ananipenda sababu mi humpa njoti mara ka tatu at the same time amepiga magoti uliona kwa tv alafu sa hivi unajifanya umenoki
hahahaha hahaha
kwa we ndio mi huacha mabeste wangu wakwende o.g
mtoto mzuri natulia naye mtaani
na haniulizagi nonini waenda na gari gani? gari gani? Gari gani?
Kwenda panda matatu na usiniitishe fare tafadhali
mtotoe mzuri ana sura nzuri taabia nzuri
nywele nzuri
na mdomo akifungua tu hivi hainuki maiti ndani ya kaburi
Mtotoe mzuri kwangu asiwe malaya
Mtoto mzuri ataki nimpeleke kahawa
Mtotoe kwangu haoni haya tukimaliza kitanda yangu twaruka shower x2
Yeah huyoo ndo manzi naeza like eeeh angalau huyo ndo manzi hata naeza ita wife ka unapenda mi na kupenda ka unanilenga pia mi nakulenga eeeh napenda mamanzi wote tu wale wa supa kidogo wana mahaga mdogo mdogo mahudrad na maselbzi tu strong
wao wanajijua
ao siwatoto wazuri kama we huwaka pia we si mtoto mzuri
lakini ka we huwaka we huwaka tu kidogooo
tu weni mtoto mzu------ri much black eeh
south west eeeh
nonini eeh
im out baadaye yeeah