Verse 1 (Ray C)
nilishasema
sitokuja penda tena
na nikasema
sitoumizwa tena
nikaja kutana
na kijana wa Nairobi
anipenda
nashindwa kukataa
mapenzi moto moto
anilea ka mtoto
penzi lake lanimaliza
nampenda sijiwezi
Chorus (Ray C)
moto moto
penzi lake moto moto
moto moto
penzi moto moto
(French Boy)
moto moto
penzi lake moto moto
moto moto
penzi moto moto
Verse 2 (French Boy)
nimependa huyu dame
kwangu ye ni malaika
urembo wake wajiuza
my cherie nimedata
oh no nimechizi
mpaka sijiwezi
na siwezi ishi bila ye
ndiye mahabubu
yeye hunitibu
ye ndio tabibu
kwaya nayo ni sibu
penzi lake lanimaliza
nampenda sijielewi
Chorus (French Boy)
moto moto
penzi lake moto moto
moto moto
penzi moto moto
(Ray C)
moto moto
penzi lake moto moto
moto moto
penzi moto moto
Verse 3
ni hot
inachoma
her love for me
makes me sing ooh
ni hot
inachoma
her love for me...
Chorus (Ray C)
moto moto
penzi lake moto moto
moto moto
penzi moto moto
(French Boy)
moto moto
penzi lake moto moto
moto moto
penzi moto moto