Chorus
ni vile ana-walk walk, ana-talk talk
the shamba boy
roho yangu inadai
akipita, akinena, walai
mimi nina-die

ana-walk walk, ana-talk talk
the shamba boy
roho yangu inadai
akipita, akinena, walai
mimi nina-die

Verse 1
siwezi kuku-show
vile these feelings zilianza ku-grow
siwezi kuku-show
vile these feelings zilianza ku-grow
when our eyes met
nili-feel fire
hata kama ana jembe
sikujalia

Chorus
ni vile ana-walk walk, ana-talk talk
the shamba boy
roho yangu inadai
akipita, akinena, walai
mimi nina-die

ana-walk walk, ana-talk talk
the shamba boy
roho yangu inadai
akipita, akinena, walai
mimi nina-die

Verse 2
wazushe, waseme, sijali moyoni
nimeamua yeye ndiye nafuata
kwani namhisi hadi ndani
njaro zake na mavazi
I really want this guy, I really love this guy
I really want this guy

Chorus

ni vile ana-walk walk, ana-talk talk
the shamba boy
roho yangu inadai
akipita, akinena, walai
mimi nina-die

ana-walk walk, ana-talk talk
the shamba boy
roho yangu inadai
akipita, akinena, walai
mimi nina-die

Verse 3
akilima hii shamba
akifyeka na slasher
akipitisha hiyo tractor

akilima hiyo jembe
akifyeka na slasher
akipitisha hiyo tractor

Chorus
ni vile ana-walk walk, ana-talk talk
the shamba boy
roho yangu inadai
akipita, akinena, walai
mimi nina-die

ana-walk walk, ana-talk talk
the shamba boy
roho yangu inadai
akipita, akinena, walai
mimi nina-die

Share on social media


Report Item

Size 8 - Shamba boy Lyrics


Select reason for reporing content:

Send Item To Friend

Title: Size 8 - Shamba boy Lyrics


Posted by: Admin

Admin user